Jumamosi, 22 Machi 2014
Snura aeleza kuwa kuusu kukutwa kwa mganga sio habari za kweli
Akiongea na paparazi wetu wa mgambilwa ""mimi nilikua nashoot movie nashangaa wanasema kua nilikua naroga ila sio kweli wanataka kunichafulia jina tu hao wala sio kweli
Ijumaa, 14 Machi 2014
Jumatano, 12 Machi 2014
Download wakubwa wa jiji-Muda
Club 71 kibo complex Tegeta Present
Jumapili hii ya tarehe 16-03-2014 atakuwepo msanii anaetamba na kibao cha masebene si mwingine bali ni Y-TONY mzee wa masebene atakinukisha pande hizo bila kumsahau malkia wa nyonga tanzania ambae ni hit maker wa ushaharibu atakuwepo kuanzia saa tatu usiku mpaka majogoo suprise za nguvu zitakuwepo wahi bila kuchelewaaaa
Jumanne, 11 Machi 2014
Doenload K.K.K ya roma
Siku ya jumatatu msanii roma aliamua kuachia ngoma yakr ya karibu kwenye karam au kkk download hapa www.hulkshare/romakkk.com
Ndo basi tena ushaharibu
Baada ya kuzinduliwa rasmi ngoma ya ushaharibu ya hit maker wa nimevurugwa snura mushi sasa mpaka kwenye magari ni kuharibu mpaka kinaeleweka hautaki unaandamana
Msambinungwa yuleeeeeeeee
Hit maker wa ngoma ya msambinungwa khalid ramadhan (Tundaman) achia video yake na kukubalika viluvyo. ☆☆☆☆
New Nokia X
Ni ingizovjipya toka kampuni ya watengenezaji wa simu aina ya nokia ni simu yenye uwezo mkumbwa saaana ina android ya 4.6 na BBM inasapport kila apps zote unazozijua kazi kwenu
Snura afunika Arusha
Mwanamuziki anaeendelea kufanya vizuri kwenye game
Ya muziki mwanadada huyo aitwae snura juzi aliamua kuwapagawishwa wakazi wa arusha na kuwaharibu bila BBC kuvuruga