Jumapili hii ya tarehe 16-03-2014 atakuwepo msanii anaetamba na kibao cha masebene si mwingine bali ni Y-TONY mzee wa masebene atakinukisha pande hizo bila kumsahau malkia wa nyonga tanzania ambae ni hit maker wa ushaharibu atakuwepo kuanzia saa tatu usiku mpaka majogoo suprise za nguvu zitakuwepo wahi bila kuchelewaaaa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni