Huku na huko Tukaangukia mwanza Mzee Acha watoto wapendeze acha wa upare ni kwenye hafra ya show moja inayobamba kinoma pande hizo za mji wa mawe mwanza jana ilikua party ya watoto wa mjini bhaaana eeeh acha watoto wapendeze a sio kwa kupendeza huko
Kwa habari na picha rukuki tembelea akaunt ya instagram ya maisha mwanza
Jumamosi, 25 Februari 2017
WATOTO WA MJINI PARTY MWANZA
Jumanne, 21 Februari 2017
Jumanne Hii
Jumanne ya leo tena tunakutana Maisha club Dodoma na Totoz zitaingia buuuuree kabisa Njoo ushuhudie Viuno kuntu vya Msambwanda Dadaz kwenye USIKU WA VIUNO NYIGU na KIBAOMSAMBWANDA wanaume watalipia buku 7,000/=tu. .Wanawake wataingia bureeee kabisa..
Cc
@maishaclubtz @dvjhunter_sniper l @ericelias5 @budodijoseph34 @dj_k_vee @djmontanatz @maisha_basement @deejaygodo @raybalo@gillatheboss@hkhyper02@maisha_basement@robertmshale....Usikoseeee
Jumamosi, 18 Februari 2017
INSTAGRAM KUONGEZA IDADI YA PICHA ZA KUPOSTI KWA WAKATI MMOJA
Kila kukicha mtandao wa Instagram unazidi kuboresha huduma zake ili kuendana na matakwa ya watumiaji kwani tumeona mabadiliko ya #InstaLive na sasa wapo karibu kuleta mabadiliko mengine ya kuposti picha nyingi kwa muda mmoja tofauti na mfumo wa sasa hivi wa kuposti picha m0ja moja.

Kwa watumiaji wa Facebook na WhatsApp ni rahisi sana kuposti picha nyingi kwa wakati mmoja lakini kama unatumia mtandao wa Instagram itakulazimu kuposti picha moja moja hata kama una picha nyingi za kuposti kwa muda huo.
Ila kwa ujio huo Instagram itakuwa imerahisisha kwa watu ambao hupenda kuweka picha za matukio kama harusi au Tamasha kwani watakuwa na uwezo wa kuweka picha nyingi kwa wakati mmoja.
Hata hivyo Instagram hawajataja tarehe rasmi ya kuzindua huduma hiyo ingawaje wamesema ni mwaka huu kwahiyo endelea kutufuatilia kwani tutakujuza hapa hapa tukishapata taarifa zaidi juu ya ujio huo.
Ijumaa, 17 Februari 2017
 Mfumo Mpya wa Kutumia Namba za Simbu Kuanzishwa Mwezi Ujao,Utaruhusu Kuhama Mtandao Mmjoa Kwenda Mwingine Bila Kununua Laini Mpya
Mfumo mpya wa matumizi ya namba za simu (Number Portability) unatarajiwa kuanzishwa ifikapo Machi Mosi kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kampuni za simu nchini.
Kampuni za simu zilizoingia katika mkataba huo ni pamoja na Tigo, Vodacom, Airtel, TTCL, Zantel, Smile, Smart na Halotel.
Jana, TCRA ilitangaza huduma hiyo mpya kwa watumiaji wa simu nchini, itakayomwezesha mteja kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine na kuendelea kutumia namba yake ya awali.
Mpango huo tayari umeshatekelezwa kwenye nchi nyingi za Ulaya na hata Afrika Kusini.
Mmoja wa watumiaji wa mitandao ya simu za mkononi, Musa Aziz amesema pamoja na faida zilizopo bado kuna hofu kwa watumiaji kutokana na usumbufu wa mawasiliano.
“Nafikiri kutakuwa na gharama za ziada mimi nikimpigia mwenzangu sitajua kwa wakati huo anatumia mtandao gani, hapo ninaweza kuingia gharama kubwa zaidi, sina hakika kama italeta unafuu japokuwa ni mpango mzuri,” amesema Aziz.
Alhamisi, 16 Februari 2017
Baada Ya Arsenal Kuchezea Kichapo Cha Bao 5-1 Kutoka kwa Buyern Munich
Bayern 5 vs Arsenal 1
Natamani kuamini kuwa sasa Wenger atakuwa anabet... Kwa mechi muhimu na yenye ushindani kama ya leo ana sababu gani za msingi za kutowaanzisha wachezaji wake tegemeo kama Giroud, Walcot na Chezk... Kulikuwa na sababu gani ya msingi ya kumtoa Konscienly dakika ya 60 na kumuingiza Gabriel?
Hatukatai Arsenal ina kikosi kidogo ila kwa matokeo ya leo imejitakia na Wenger amehusika sana kuibomoa..
Yaan kweli uongozi wa Arsenal umemuongezea mkataba wa miaka miwili huyu mzee.. Nafikiri kuna ndumba hapa.... Hivi kocha hajisikii aibu kwa matokeo mabovu daily!? Kiukweli inauma sana. Why Wenger unatufanyia hivi? Hivi hujisikii aibu na ukachukua hatua stahili za kuwajibika kama Meneja ukaamua kujiuzulu bila shuruti? Utaonekana shujaa sana. Kuliko kuja kufungashiwa virago vyako kama makocha wa timu nyingine.
MAISHA BASEMENT MWANZA PRESENT
Leo ndiyo USIKU WA UNO MKATIKO na KIBAO KATA njoo uone jinsi kiuno kinavyokata katika in kwa mtonyo wa buku 7 tuuu mlangon ila wanawake bure mwisho Saa 7 na dj wako wa kiswazi n @djmario_starboy kinaitwaga cha mgandooooooo kwendeeeeeeeeeeeee
@maisha_basement_mwanza @edsonmaziwa @tony_guyzk @hkhyper02 @gillatheboss @cdj_skadi @dvjallyb @djmario_starboy @djmario_fanpage @dj_fire_tz @dj_stevow @siwema_255 @kwamapachaclassic @mkurymstarabu @magreto_255 @maishaclubdodoma @maisha_basement @rockstore_mwanza @__Danga__chee @war_ditah @mgambilwa @erick_epimark @fxstudiotz @dengue_homa_ya_jiji @Fetybeybe__alsharji @Boscomaswitz @victormgeni_kichupa @abdul.mohamed.16144 @___qadri @reginalismachota @cethperry @reglicious_4_rly @hasfubarbershop @derick_055 @musamodel @cwtylizzy @cutyzuuu @ney_sammy @Wakitaa_fashion @mikatosumu_clothing_store @jembefm @streetsoultz @barakamodotz @irene1moh @official_Hajra @iamjimmychansa @juamajan @mitupio_brand @mahelaenock @hammymoh @mike_lov @___qadri @Khadija kiota @chinua976 @vijo__223 @thejointisamilo @hasfubarbershop @zanzibarpizza @fashwhite @cam_brothers @mcdunga_shoponline
Jumatano, 15 Februari 2017
CLUB SEVEN (7) DODOM PRESENT
USIKU WA K-KILA ALHAMIS,LADIES FREE,WANAUME BUKU TANO,ONLY AT NEW CLUB7-AREA D DODOMA
NJOO UKUTANE NA NGOMA #BAMPA2BAMPA TOKA KWA MADJ NOMA MTAMBONI.
#THIRSTY_THURSDAY @joe_pro24 @sdizzoismail @makangalemoja @jombi_1 @newclub7dodoma
Alhamis Hii ndani ya Maisha
Alhamis hii @maisha_basement @achunis @selebonge @shaniboutique @yahyaboutique1 @didar_la_divah #usiku_wa_taskima_kababu @gillatheboss @dvjallyb