Jumatano, 13 Agosti 2014
Ijumaa, 1 Agosti 2014
Jumatatu, 14 Julai 2014
Wawili wahofiwa kupoteza maisha
Ujerumani ndo bingwa wa mwaka huu
Jumatano, 9 Julai 2014
Jumatatu, 30 Juni 2014
Jumamosi, 28 Juni 2014
Ijumaa, 30 Mei 2014
Alhamisi, 29 Mei 2014
Jumatano, 28 Mei 2014
Usiku wa bunyero ndani ya maisha club
Utakua mpambano mkali kati ya kibao kata na kikundi cha bunyero kanga moko ndani ya maisha club tarehe 28-05-2014
Kiingilio 10000
NEW MAISHA CLUB AND FAMONGA MOROGORO PRESENT USIKU WA RAHA
June 1-2014 new maisha club inakuletea usiku wa raha morogoro show ikipambwa na wakali wa bongo flava akiwemo
TUNDAMAN
BECKA TITTLE
SHEBBY LOVE
Y-TONE
kwa kiingilio cha Tshs.7000/=
Wahi mapemaa
NEW MAISHA CLUB M6ROGORO
Jumanne, 27 Mei 2014
Jumamosi, 22 Machi 2014
Snura aeleza kuwa kuusu kukutwa kwa mganga sio habari za kweli
Akiongea na paparazi wetu wa mgambilwa ""mimi nilikua nashoot movie nashangaa wanasema kua nilikua naroga ila sio kweli wanataka kunichafulia jina tu hao wala sio kweli
Ijumaa, 14 Machi 2014
Jumatano, 12 Machi 2014
Download wakubwa wa jiji-Muda
Club 71 kibo complex Tegeta Present
Jumapili hii ya tarehe 16-03-2014 atakuwepo msanii anaetamba na kibao cha masebene si mwingine bali ni Y-TONY mzee wa masebene atakinukisha pande hizo bila kumsahau malkia wa nyonga tanzania ambae ni hit maker wa ushaharibu atakuwepo kuanzia saa tatu usiku mpaka majogoo suprise za nguvu zitakuwepo wahi bila kuchelewaaaa
Jumanne, 11 Machi 2014
Doenload K.K.K ya roma
Siku ya jumatatu msanii roma aliamua kuachia ngoma yakr ya karibu kwenye karam au kkk download hapa www.hulkshare/romakkk.com
Ndo basi tena ushaharibu
Baada ya kuzinduliwa rasmi ngoma ya ushaharibu ya hit maker wa nimevurugwa snura mushi sasa mpaka kwenye magari ni kuharibu mpaka kinaeleweka hautaki unaandamana
Msambinungwa yuleeeeeeeee
Hit maker wa ngoma ya msambinungwa khalid ramadhan (Tundaman) achia video yake na kukubalika viluvyo. ☆☆☆☆
New Nokia X
Ni ingizovjipya toka kampuni ya watengenezaji wa simu aina ya nokia ni simu yenye uwezo mkumbwa saaana ina android ya 4.6 na BBM inasapport kila apps zote unazozijua kazi kwenu
Snura afunika Arusha
Mwanamuziki anaeendelea kufanya vizuri kwenye game
Ya muziki mwanadada huyo aitwae snura juzi aliamua kuwapagawishwa wakazi wa arusha na kuwaharibu bila BBC kuvuruga