mwanamke anatakiwa kuwa mshamba kidogo… Siyo unadate na binti anajua mpaka Lukaku alifunga mabao mangapi msimu uliopita??…
Mwanamke unakaa naye anamjua Boro Yanki, Van Dame, Bill Branks…. Anakuadithia "anodi ya jini mwanzo mwisho"…
Yaani huna hata kipya cha kumfundisha…
Binti anatakiwa ukimuuliza "Bby unamjua Rooney?? " anakujibu "Namsikia tuu.. Hivi ameimba wimbo gani?? "
Bby anatakiwa kuwa mshamba kidogo… Yaani eti bby anampenda Undertaker na Marehemu Umaga…
Binti anangaalia Movie ya Wrong Turn hata hajifichi amekodoa tu mimacho kuanzia mwanzo mpaka list ya majina inapita…
Bby anatakiwa ukiangalia naye Final Destination muda wote anafumba macho… Kila Mara anaongea kwa huruma… "Jamani wewe usiende utakufa huko" Mara unasikia "bby toa hii nitaota usiku mwenzio"…
Siyo mwanmke anakaza mdomo kabisa kwa hasira mtu akikoswakoswa kufa unamsikia kudadeki afe tu huyo anakihelehele..
*Mwanamke anatakiwa kuwa mshamba kidogo buana....
Jumanne, 14 Februari 2017
Muhimu Sana Kwako
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni